April 25 ni siku ya Malaria Duniani ambapo WHO inapendekeza ongezeko la matumizi ya chanjo ya kwanza ya malaria barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Malaria ni ugonjwa unaozuilika na unaotibika. Hata hivyo kila mwaka malaria huwakumba zaidi ya watu milioni 200 na kuua zaidi ya 600,000. Vifo vingi kati ya hivi karibu nusu milioni miongoni mwao ni watoto wadogo katika bara la Afrika