Wakongo takriban 13,000 wakimbia machafuko DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Zaidi ya Wakongo 13,000 wakimbia makazi yao na kuingia Uganda kutokana na mapigano kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.

- Marekani na washirika wake wafuatilia kwa karibu mazungumzo kati ya Ukraine na Russia huku vikwazo vikiendelea kutekelezwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari