Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Russia yakabiliwa na uwezekano wa kuwekewa vikwazo vipya
Your browser doesn’t support HTML5
Russia yakabiliwa na uwezekano wa kuwekewa vikwazo vipya na nchi za Magharibi baada ya Rais Vladimir Putin kutambua mikoa miwili iliyojitenga mashariki mwa Ukraine.