Katika Picha Watu watano wauwawa kwenye maandamano kupinga utawala wa kijeshi Sudan ilipohaririwa mwisho 13 Novemba, 2021 Abdushakur Aboud Wa-Sudan waandamana Khartoum kupinga mapinduzi ya kijeshi. Waandamanaji wakiimba nje ya ubalozi wa UAE mjini London kupinga mapinduzi ya Sudan Waandamanaji wakusanyika nje ya Ubalozi wa Misri mjini London kupinga mapinduzi ya Sudan Muandamanaji akibeba picha ya Waziri Mkuu Abdall Hamdok wakati wa kupinga utawala wa kijeshi Muandamanaji akibeba bendera ya Sudan kando ya matairi yanayowaka moto barabarani Khartoum Wasudan wakusanyika nje ya White House kupinga mapinduzi ya kijeshi Sudan Waandamanaji wa Sudan wanaopinga mapinduzi ya kijeshi wakusanyika White House Chama huru cha wafanyakazi wa Afya Sudan wanasema watu watano wameuwawa na polisi kwnye maandamano Jumamosi kupinga mapinduzi ya kijeshi