Video Mkutano wa Machar na Kiir wazaa matunda 20 Februari, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 Kiongozi wa zamani wa waasi Sudan Kusini Machar amesema amefikia muwafaka kuunda serikali ya umoja wa Taifa Sudan Kusini