Sudani kusini kuanza kutekeleza mkataba wa amani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Sudan kusini Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Dkt. Riek Machar, wamekubaliana kuanza kutekeleza awamu ya pili ya mkataba wa amani, uliosainiwa septemba mwaka uliopita, na kuunda serikali ya umoja wa kitaifa ifikapo Novemba mwaka huu.