Hatma ya ndoa za watu wa jinsia moja kujulikana baada ya miezi 3
Your browser doesn’t support HTML5
Wakenya sasa watasubiri kwa miezi mitatu kujua hatma ya ndoa za watu wa jinsia moja .Haya yanajiri baada ya Mahakama kuu nchini Kenya kuaihirisha uamuzi wa Kihistoria hadi Mei 24, 2019.