U.N. imetoa wito kufanyika mazungumzo ya kutatua ghasia Venezuela
Your browser doesn’t support HTML5
Mkuu wa masuala ya haki za binadamu wa umoja wa mataifa Michelle Bachelet ametoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kutatua hali ya mvutano uliogeuka kuwa ghasia Venezuela.