Fastjet yasimamisha safari za ndege Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Kampuni ya ndege ya Fastjet nchini Tanzania imetangaza kusitisha safari zake kuanzia leo. Taarifa kutoka katika kampuni hiyo imesama imesimamisha safari zake kutokana na sababu za kiutendaji.