Mvua kubwa ilinyesha kaskazini mwa California
Your browser doesn’t support HTML5
Mvua kubwa ambazo zilinyesha jana Jumatano kaskazini mwa jimbo la California zinatarajiwa kudumaza juhudi za kutafuta kwenye majivu na vifusi mabaki ya waathirika wa moto mkubwa