Waathirika wa moto mkubwa California wamepatiwa makazi katika sehemu ya kuegesha magari
Your browser doesn’t support HTML5
Mamia ya waathirika wasiokuwa na makazi kutokana na moto mkubwa ambao haujawahi kutokea katika jimbo la California hivi sasa wamepatiwa makazi ya muda karibu na sehemu ya kuegesha magari kwenye duka maarufu la Walmart.