Athari za kufungwa kwa NGOs Burundi

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Burundi imetekeleza agizo lake la kuyafunga mashirika yasiyo ya kiserikali kwa madai kuwa yameshindwa kufuata sheria za nchi hiyo jambo linalopelekea mmonyoko wa maadili.
Kennes Bwire amezungumza na mwandishi wetu wa Burundi Haidallah Hakizimana na kuanza kwa kumuuliza athari zinazojitokeza moja kwa moja, kufuataia hatua ya mashirika hayo kupigwa marufuku.