Wakenya wanyakua ushindi katika mbiyo za nyika duniani
Irene Cheptai wa Kenya ashinda dhahabu mbiyo za wanyika Kampala Uganda 2017
Bingwa wa dunia mbiyo za nyika Geoffrey Kamworor wa Kenya ashinda mbiyo za Kampala
Sebestian Coe rais wa IAAF na Rais Yoweri Museveni kwenye ufunguzi wa Cross Country 2017
Timu ya Kenya ya mchanganyiko Asbel Kiprop, Beatrice Chepkoech, Winnie Mbithe and Bernard Koros
Wanawake chini ya miaka 20 washindana katika mbiyo za nyika Kampala
Jacob Kiplimo akishinda mbiyo za nyika za vijana chini ya miaka 20 Kampala
Letesenbet Gidey wa Ethopia ashinda mbiyo za wanawake U20 mjini Kampala
Vijana chini ya miaka 20 katika mbiyo za nyika mjini Kampala 2017