Waandamanaji wapinga ushindi wa Trump Marekani
Mamia ya wapinzani wa Donald Trump waandamana kupitia mtaa wa Sixth Avenue kuelekea jengo la Trump Tower in New York City, Nov. 9, 2016.
Maandamano ya kumpinga Donald Trump mjini Los Angeles.
Waandamanaji wakifurika mtaa wa Fifth Avenue wakipinga ushindi wa Donald Trump nje ya jengo lake laTrump Tower in New York City, Nov. 9, 2016.
Waandamanaji wanaompinga Donald Trump mjini Philadelphia, Pennsylvania, Nov. 9, 2016.
Mamia ya wapinzani wa Donald Trump waandamana kupitia mtaa wa Sixth Avenue kuelekea jengo la Trump Tower in New York City, Nov. 9, 2016.
Mamia ya wapinzani wa Donald Trump waandamana kupitia mtaa wa 57th Street kuelekea jengo la Trump Tower in New York City, Nov. 9, 2016.
Wapita njia wakiwashangiria waungaji mkono wa Trump walokusanyika mbele ya nyumba ya Trump kueleza uungaji mkono wao, Nov. 9, 2016. .