Rais John Magufuli wa Tanzania afanya ziara ya kwanza Kenya
Rais Uhuru Kenyatta akimkaribisha mwenzake John Magufuli ikulu Nairobi
Mkutano juu ya biashara kati ya marais wa Kernya na Tanzania mjini Nairobi
Rais John Magufuli wa Tanzania akimsalimia naibu rais wa Kenya William Ruto
Rais John Magufuli wa Tanzania atia saini katabu cha wageni Ikulu, Nairobi Rais Kenyatta akimtizama.
Marais Uhuru Kenyatta wa Kenya na John Magufuli wa Tanzania wakizungumza na waandishi
Rais John Magufuli akikagua gwaride alipowasili Nairobi kwa ziara ya kwanza Kenya
Rais Johna Magufuli wa Tanzania akizungumza kwenye mkutano wa biashara na Kenya
Marais Uhuru Kenyatta na John Magufuli wahudhuria mkutano wa biashara kati ya nchi zao.
Marais Uhuru Kenyatta wa Kenya na John Magufuli wa Tanzania wakikagua gwaride mjini Nairobi
Rais Uhuru Kenyatta akimkaribisha John Magufuli Ikulu Nairobi akiwa na furaha.
Rais Uhuru Kenyatta akicheka na mwenzake John Magufuli Ikulu ya Nairobi
Mkutano juu ya biashara kati ya marais wa Kenyatta na Magufuli mjini Nairobi