Your browser doesn’t support HTML5
Leo ni siku kubwa kwa vijana nchini Kenya ambao wanatarajia kutumikia nchi yao katika kazi ya kulinda nchi, kwani zoezi la kuwasajili polisi wapya takriban elfu 10, litafanyika leo Aprili 4, 2016.
Usajili huo unafuatia agizo la rais uhuru Kenyatta, la kuongeza idadi ya maafisa wa polisi, pale Kenya inapokabiliana na magaidi na majangili wanaojihusihsa na wizi wa mifugo na kunyanyasa raia.