Wakomoro wasubiri matokeo ya uchaguzi wa rais

Makao makuu ya kuhesabu kura Moroni

Gavana wa Ngazija Moinyi Baraka atembelea kituo cha kuhesabu kura Moroni

Wawakilishi wa vyama wakikagua hesabu za kura Moroni

Wapigakura wa Komoro wasubiri kupiga kura katika uchaguzi wa

Mpiga kura wa Komoro ashiriki katika uchaguzi wa rais 2016

Wapiga kura wasubiri kuingia kupiga kura zao

Mkutano wa mwisho wa mgombea kiti cha rais wa serikali mjini Moroni

Mgombea kiti cha rais Mohamed Ali Soilihi (kushoto) na mgombea mwenza wake Houmadie