Museveni atangazwa mshindi, jeshi lawekwa mitaani
Watu watoweka barabara za Kampala siku ya kutangazwa matokeo
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Uganda akitangaza matokeo ya uchaguzi wa rais
Jeshi la Uganda liko katika mitaa ya Kampala baada ya matokeo kutangazwa
Olusegun Obasanjo mkuu wa wafuatiliaji wa Jumuia ya Madola huko Uganda akizungumza na waandishi
Olusegun Obasanjo mkuu wa wafuatiliaji wa Jumuia ya Madola huko Uganda
Jeshi la Uganda la wekwa katika njia za Kampala baada ya uchaguzi
Polisi wa Uganda nje ya nyumba ya mpinzani
Polisi walowekwa njiani Kampala siku ya kutangaza matokeo