Kampeni za Uchaguzi wa Awali za pamba moto Marekani
Wapiga kura wakisikiliza hotuba ya mgombea kiti cha Republican John Kasich
Basi la mgombea kampeni John Kasich huko New Hampsire
Wapiga kura wakisikiliza hotuba ya mgombea kiti cha Republican John Kasich
Watu wakielekea katika kampeni za uchaguzi huko New Hampshire
Wagombea kiti cha rais wa chama cha republican wakijitayarisha kuanza mdahalo kabla ya ucahguzi wa awali wa New Hampshire katika chuo kikuu cha St. Anselm College, Feb. 6, 2016, mjini Manchester, N.H.
Mgombea kiti wa chama cha demokratic Hillary Clinton akifurahi anapokaribishwa na waziri wa zamani wa mambo ya nchi za nje Madeleine Albright katika tukio la kampeni katika shule ya Rundlett mjini Concord, N.H., Feb. 6, 2016.
Mgombea kiti wa chama cha Demokratic Sen. Bernie Sanders akizungumza wakati wa campeni katika chuo kikuu cha Franklin Pierce Fieldhouse, Feb. 6, 2016, mjini Rindge, N.H.
Bartenders work at McGarveys Bar in Manchester, N.H., as the Republican presidential debate is shown on televisions