China itaisaidia Afrika kwa dola bilioni 60
Rais Xi Jinping wa China (kuanzia kushoto) akipigwa picha pamoja na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe (2nd R) na rais nwa Afrika Kusini Jacob Zuma (C) wakati wa mkutano wa China-Africa huko Sandton, Johannesburg, December 4, 2015
Rais Xi Jinping wa China (kushoto) akisalimiana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe huku Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akitizama wakati wa Mkutano wa viongozi wa Afrika na China, huko Sandton, Johannesburg, December 4, 2015.
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini (kulia) akisalimiana na mgeni wake Rais Xi Jinping wa China baada ya kukutana na waandishi habari katika jengo la serikali ya Afrika Kusini Union Building Pretoria, Dec. 2, 2015.
China Benin
China Africa Summit