Viongozi Wakutana Paris Kuweka Malengo ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa

Rais wa Marekani, Barack Obama, akihutubia katika ufunguzi wa mkutano wa Dunia wa mabadiliko ya hali ya hewa wa "World Climate Change Conference 2015 (COP21)" mjini Le Bourget, karibu na Paris, Ufaransa, Novemba 30, 2015.

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe (kati) akisalimiwa na Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, (kushoto) alipowasili katika mkutano wa Dunia wa mabadiliko ya hali ya hewa mjini Le Bourget, nje ya Paris, Jumatatu, Novemba 30, 2015.

Marais wa Marekani, Barack Obama (kulia) na Ufaransa, Francois Hollande (kushoto) wakisalimiana mara baada ya kuwasili katika mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa.

Viongozi wa dunia wakiwa katika picha ya pamoja katika mkutano wa Dunia wa mabadiliko ya hali ya hewa nchini Ufaransa.

Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akitoa hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa dunia wa mabadiliko ya hali ya hewa.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akihutubia mkutano wa Dunia wa mabadiliko ya hali ya hewa.

Viongozi wa Dunia Wakutana Paris Kuweka Malengo ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa