Ushindani mkubwa katika uchaguzi wa Tanzania 2015

Mgombea mwenza wa CCM awasili Arusha

Wafuatiliaji wa uchaguzi wa EU kwenye mkutano wa CCM

Maafisa wakiwaandikisha wapigaji kura kwa komputa za uchaguzi BVR

Wafuatiliaji kutoka mataifa ya Maziwa makuu wakihudhuria mkutano wa CCM

Wafuasi wa Chadema huko Arusha
Mgombea kiti cha rais wa Ukawa Edward Lowasa
Mkutano wa UKAWA Jangwani kuzindua kampeni yake 2015
Dr. John Magufuli mgombea kiti cha rais wa CCM
Mgawanyiko wa viti katika bunge la Tanzania
Magufuli Mgombea kiti cha rais wa CCM jukwani na wanamuziki
Mgombea kiti cha rais wa Zanzinar chama cha CCM Shein na Rais Kikwete huko Zanzibar
Mkutano wa chama cha CUF kisiwani Pemba Zanzibar