Matukio kadhaa wakati wa Mkutano wa 70 wa Umoja wa mataifa 2015
Bendera ya Palestina yapeperuka kwenye uwanja wa Umoja wa Mataiufa
Kupandishwa bendera ya Palestina Umoja wa Mataifa
Mkutanio wa kuidhinisha malengo ya maendeleo endelevu
Mkutanio juu ya Wanawake, Amani, na Usalama kwenye Umoja wa Mataifa
Somi Muimbaji kutoka Rwanda awatumbuiza wageni kwenye ghafla ya Umoja wa Mataifa
Rais Barack Obama wa Marekani na Vladimir Putin wainua glasi wakati wa dhifa mjini New York.