Dhulma dhidi ya wanawake lazima zikomeshwe
Wanawake mjini Nairobi waandamana kupinga unyanyasaji
Margaret Kenyatta akamilisha biyo za Beyond Zero siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wa Afrika kusini wakiandamana kulani ghasia dhidi yao
Viongozi wa vyama vya wanawake DRC wakitaka wanawake kushirikishwa zaidi katika siasa
Wanawake wanaharakati wa Ufilipino wakionesha mchezo wa kuigiza barabarani unaomulika ukiukaji wa haki za binadam mjini Manila
Wanawake wanaandamana wakilaani dhulma dhidi yao mjini Istanbul Uturuki siku ya Wanawake Duniani. March 8, 2015.
Wanaume wanabeba mabango kutaka kushirikishwa zaidi wanawake katika shughuli za kisiasa na bungeni huko Tbilisi, Georgia, March 8, 2015.
Mwanamke wa kihindi akibeba sufuria kichwani kuuza siku ya Wanawake Duniani India, March 8, 2015.