Rais Kikwete wa tanzania atoa wito wa uwekezaji zaidi katika kilimo Afrika
Rais Kikwete akizungumza na waziri Kerry wakati wa mkutano wa kupambana na umaskini
Rais wa Tanzania Kikwete akizungumza kwenye jopo juu ya kupambana na umaskini uloandaliwa na USAID
Rais Kikwete wa Tanzania akizungumza na makamu rais wa Benki kuu ya Dunia Bw Diop
Rais Kikwete akisalimiana na Wazirti Mkuu wa Zamani wa Uingereza Tony Blair mjini Washington
Wageni katika hafla ya Usiku wa Jakaya wakati wa kuimba wimbo wa Taifa
Rais Kikwete na mkewe Salma wakikaribishwa na wakuu wa CCM, Washington
Rais Kikwete awahutubia watanzania katika hafla ya "Usiku wa Jakaya", Washington DC
Rais Kikwete ashanga na ukubwa wa kombe alokabidhiwa na wajumbe wa California
Rais Jakaya kKikwete wa Tanzania akabidhiwa zawadi mjini DC