Kupanua vta dhidi ya serkali ya Kiislamu.

Wanaume wa Druze wakiangalia kutoka Israel kutoka milima ya Golan katika jimbo la Quneitra karibu na mpaka wakati vikosi vya waasi wa  Syria  vikipambana na majeshi ya Rais Bashar al-Assad  Agosti. 27, 2014. 

Moshi ukifuka karibu na kituo cha umoja wa mataifa katika jimbo la Quinetra wakati waasi wakipambana na vikosi vya  Rais Bashar al-Assad, Agosti . 27, 2014. 

Mlinda amani  wa Mataifa  kutoka  UNDOF akiangalia  jimbo Quneitra huku  waasi wa Syria wakipambana na vikosi  vya Rais Bashar al-Assad, Agosti. 27, 2014. 

Moshi na moto ukionekana katika jimbo la  Quneitra wakati  waasi wa  Syria wakipambana na vikosi vya  Rais Bashar al-Assad Agosti. 27, 2014. 

Hii picha isiyo  na  tarehe iliwekweka  kwenye mtandao Jumatano , Agosti. 27, 2014 na kituo cha habari cha Raqqa, chama cha upinzani cha Syria ,kinaonyesha mpiganaji  kutoka kundi la Islamic State akiwa na bunduki na kisu akiwa kwa karibu na askari na maafisa  waliotekwa kufuatia mapigano katika kituo cha jeshi cha Taqba.