Mkutano wa London juu ya Somalia.
Viongozi wanaohudhuria mkutano wa London juu ya kuisaidia serikali mpya ya Somalia
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Uingereza William Hague,akika kulia kwa waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon, na Rais Hassan Sheikh Mahamud wakati wa mkutano wa wafadhili mjini London may 7, 2013 (Photo/Yusuuf H.. Aadan).
Wajumbe kwenye mkutano wa London juu ya Somalia, Mei 7, 2013
Wajumbe kwenye mkutano wa London juu ya Somalia, Mei 7, 2013
Viongozi wanaohudhuria mkutano wa siku moja juu ya msaada kwa Somalia mjini London.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akizungumza kwenye mkutano wa London juu ya Somalia, Mei 7, 2013
Ukumbi kunakofanyika mkutano wa viongozi juu ya Somalia mjini London
Kiongozi wa Ethopia kwenye mkutano wa viongozi juu ya Somalia mjini London, Mei 7, 2013.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, akikaribishwa na Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mahamud na Waziri Mkuu wa Uingereza David caemroon mjini London.
Jengo kulikofanyika mkutano wa Somalia mjini London.