Wapiganaji wa M23 wateka miji zaidi mashariki ya DRC
Wakimbizi wakimbia vita wakibeba mali zao kutoka Sake kuelekea maeneo ya usalama
Chombo cha kufyetulia mizinga iliyoachwa nyuma na wanajeshi wa serikali, FARDC, katika mji wa Goma
Wakimbizi wanaokimbia vita waelekea maeneo ya usalama
Mpiganaji wa M23 juu ya silaha zilizopatikana Goma
Wapiganaji wa M23 waelekea Minova kusini mwa mji wa Goma
Silaha zilizoachwa na jeshi la FARDC mjini Goma