Katika Picha Mkutano juu ya Ukimwi Washington 2012 25 Julai, 2012 Mkutano wa 19 wa Kimataifa juu ya HIV/Ukimwi ulianza Washington, kwa wito wa kuendelea na mafanikiyo yaliyokwisha patikana hadi leo.