Kanumbwa aagwa na maelfu ya mashabiki

Steven Charles Kanumba wakati wa uhai wake.

Maelfu ya watu wahudhuria mazishi ya msani Steven Charles Kanumba wa Tanzania

Waombolezaji wakiuaga mwili wa Steve Kanumba.

Mwili wa marehemu Steve Kanumba ukiwa katika Viwanja vya Leaders Club

Mama Mzazi wa Steve Kanumba, Bi. Flora Mgoa akiwa na simanzi kubwa.

Mdogo wa marehemu aitwaye Seth Bosco (kulia) akiwa mwenye uso wa majonzi.

Jeneza la Steven Charles Kanumba kwenye Viwanja vya Leaders Club

Wasaidizi wa Msalaba Mwekundi wakiwaondowa watu walozirahi wakati wa kumwaga Kanumba

Viongozi wa serikali akiwemo Makamu wa Rais, Gharib Bilal (wa tatu kulia) wakisubiri kuwasili kwa mwili wa Kanumba.

Mke wa Rais, Salma Kikwete, akiwa msibani.

Baadhi ya waombolezi walopoteza fahamu wakati wa mazishi ya s Kanumba

Waombolezaji wakilizuia gari lenye mwili wa marehemu wakati wa safari ya kuelekea makaburini

Waombolezaji wakilizuia gari lenye mwili wa marehemu wakati wa safari ya kuelekea makaburini.…

Waombolezi walopanda kwenye miti kumwaga msani Kanumba

Maelfu na maelfu ya watu walijitokeza Jumanne kumwaga msani mashuhuri Steven Charles Kanumba mjini Dar es Salaam