Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

Watoto wa shule ya msingi wakisoma magazeti kwenye kibanda cha kuuza Magazeti Kivukoni Front , Dar es Sa;aam

Waandishi habari wakifanya kazi

Naibu waziri wa habari wa Burma Soe Win akitoa hutuba kuadhimisha siku ya waandishi habari. Rangoon, Burma, May 3, 2012.

Maandamano ya waandishi habari mjini Kuala Lumpur, kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. May 3, 2012.

Watu wakishiriki kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani. May 3, 2012.

Waandishi habari wakibeba mabango Madrid Uhispania

Watu wakishiriki kuadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari duniani Tiblisi, May 3, 2012.

Waandishi habari wakibeba mabango wakati wa maandamano Kuala Lumpur, Malaysia May 3, 2012.

Waandishi habari Amman Jordan mbele ya bunge kulalamika dhidi ya sheria mpya zitakazo wanyanyasa, September 29, 2011.

Dunia nzima inaadhimisha siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa kutafakari na kuzungumzia manedeleo katika kuwapatia waandishi habari na vyombo vya habari uhuru ambao ni haki yao inayotambulika kimataifa