Siku ya Ukimwi Duniani

Bango la barabarani Lusaka Zambia, kuhamasisha watu kupambana na ukimwi

Mfanyakazi wa mahabara akitayarisha damu kupimwa kwa ajili ya HIV

Wanaharakati wakiandamana kwenye mkutano wa Ukimwi Duniani huko Vienna

Watu wakiandamana mbele ya makao makuu ya Umoja wa mataifa wakati wa mkutano wa viongozi juu ya MDG's

Dk. Zuhura Sedute msimamizi wa mradi wa HI/Ukimwi wilaya ya Mount Meru Arusha, Tanzania akimhudumia mgonjwa anaishi na virusi vya HIV.

Wanajeshi wa jeshi la kujenga taifa Kenya wakisimama mbele ya bango linalo hamasisha kupambanana ukimwi mjini Nairobi.

Kina mamamwa kitongoji cha hatari kabisa cha Korogocho Nairobi Kenya wakipata mafunzo ya kujikinga kutokana na kuongezeka vitendo vya ubakaji dhidi ya watu wazima.

Mgonjwa wa ukimwi kwenye wadi ya hospitali ya Baphumele huko Afrika kusini, inayowatimu watu wanaoishi na ukimwi.

Nembo ya ya kuadhimisha siku ya Ukimwi Duniani iliyofungwa mbele ya jengo la White House Marekani.

Muathirwa wa HIV akimbeba mwanawe katika kitongoji cha Kibera, Kenya

Wandamanaji wakiyataka mataifa makuu kuheshimu ahadi zao

Mtu aliyechora sura zake katika kuadhimisha siku ya kupambana na ukiwmi duniani