Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 16:16

Watoto hatarini Afghanistan


Watoto hatarini Afghanistan
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:40 0:00

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani atahadharisha kuongezeka kwa kesi za magonjwa na utapiamlo Afghanistan.

"Kuna kesi nyingi za surua na kuharisha. Karibu asilimia 50 ya Watoto wako katika hatari ya utapiamlo. Kuzuka kwa ugonjwa wa kupooza ni hatari kubwa na dozi milioni 2.1 za chanjo ya COVID-19 bado hazijatumika. Kama hatua za haraka hazitachukuliwa," amesema Tedros Adhanom Ghebreyesus.
XS
SM
MD
LG