"Kuna kesi nyingi za surua na kuharisha. Karibu asilimia 50 ya Watoto wako katika hatari ya utapiamlo. Kuzuka kwa ugonjwa wa kupooza ni hatari kubwa na dozi milioni 2.1 za chanjo ya COVID-19 bado hazijatumika. Kama hatua za haraka hazitachukuliwa," amesema Tedros Adhanom Ghebreyesus.
Matukio
-
Desemba 17, 2024
Makundi ya haki yanafurahia mahakama maalum ya uhalifu wa Gambia
-
Novemba 23, 2024
Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country