Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 03, 2025 Local time: 02:33

Watoto 17 wafariki katika ajali ya moto katika Shule ya Hillside Endarasha nchini Kenya

Wazazi na wananachi walikusanyika nje ya shule ya kaunti ya Nyeri Hillside Endarasha Academy katika kaunti ya Nyeri Septemba 6, 2024 baada ya moto kuzuka na kuua watoto 17. (Picha na SIMON MAINA / AFP).

Moto ulizuka katika bweni la shule ya watoto wadogo katikati mwa Kenya alfajiri ya leo Ijumaa, na kuuwa watoto wa kiume 17 waliokuwa wamelala polisi walisema.

Moto ulizuka katika bweni la shule ya watoto wadogo katikati mwa Kenya alfajiri ya Ijumaa, na kuuwa watoto wa kiume 17 waliokuwa wamelala polisi walisema.

Televisheni ya Citizen ilisema moto huo umewateketeza waathirika kiasi cha kutotambulika. Picha kutoka eneo la tukio zilionyesha mabati na masanduku ya chuma yaliyoungua yakiwa yameangukia juu ya vitanda vya wanafunzi kwenye bweni hilo.

Moto huo ulitokea katika Shule ya Hillside Endarasha huko Nyeri, shule ya msingi ya bweni ya watoto.

Forum

XS
SM
MD
LG