Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 07:08

Mabadiliko ya hali ya hewa yalaumiwa kusababisha joto jingi, pamoja na mvua kubwa Marekani.

Mabadiliko ya hali ya hewa yalaumiwa kusababisha joto jingi, pamoja na mvua kubwa Marekani.
please wait

No media source currently available

0:00 0:05:26 0:00

Wiki hii WB inaangalia mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na athari ambazo zimeendelea kujitokeza na hasa hapa Marekani. Hivi sasa hapa marekani kumekuwepo na kipindi kirefu cha joto kali kilichotaanda kuanzia California hadi kusini mwa Florida.

XS
SM
MD
LG