Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 29, 2024 Local time: 17:22

Wanajeshi wa Israel washambulia Rafah na maeneo mengine katika ukanda wa Gaza


This handout picture released by the Israeli army on June 20, 2024 shows Israeli army soldiers operating in the Gaza Strip amid the ongoing conflict in the Palestinian territory between Israel and Hamas.
This handout picture released by the Israeli army on June 20, 2024 shows Israeli army soldiers operating in the Gaza Strip amid the ongoing conflict in the Palestinian territory between Israel and Hamas.

Wanajeshi wa Israel waliishambulia Rafah na maeneo mengine katika ukanda wa Gaza na kuingia  katika mapigano  na wapiganaji yakiongozwa na Kundi la wa Palestina la Hamas, wakaazi na jesho la Israeli walisema.

Wakazi walisema Waisraeli walionekana kujaribu kukamilisha utekaji wa Rafah, mji ulioko kwenye eneo la kusini ambao umekuwa lengo la shambulio la Israeli tangu mapema mwezi Mei.

Vifaru vilikuwa vikijiingiza kuelekea magharibi na kaskazini

ya sehemu za mji huo, vikiwa tayari vimeteka mashariki, kusini na

katikati.

Vikosi vya Israel vilirusha makombora kutoka kwenye ndege, vifaru na meli na kulazimisha wimbi jipya la kuhama kutoka kwenye mji huo,

ambao ulikuwa ukiwahifadhi zaidi ya watu milioni moja waliokimbia makazi yao, ambao wengi wao wamelazimika kukimbia tena.

Forum

XS
SM
MD
LG