Limeongeza kusema timu zake za huko zilifuatilia kurejea kwa takriban watu 55,466 waliohamishwa katika maeneo ya jimbo la Sennar, kati ya Desemba 18 na Januari 10.
Katika nchi nzima, hata hivyo, Umoja wa Mataifa unasema miezi 21 ya vita imesababisha mgogoro mbaya zaidi wa wakimbizi wa ndani, na kuwaondoa zaidi ya watu milioni 12.
Njaa imetangazwa katika baadhi ya maeneo ya nchi, lakini hatari inaenea kwa mamilioni zaidi ya watu pamoja na maeneo ya kaskazini mwa Sennar, tathmini iliyoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ilieleza mwezi uliopita.
Forum