Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 05, 2025 Local time: 08:07

Wafanyakazi wa uokoaji Zambia wamemtoa mtu wa kwanza aliyenusurika katika maporomoko ya ardhi

Wafanyakazi wa mgodi wanaonekana wakati wa uokoaji huko Chingola, karibu kilomita 400 kaskazini mwa mji mkuu wa Lusaka, Zambia, Jumamosi, Desemba 2, 2023.AP

Wafanyakazi wa uokoaji nchini Zambia wamemtoa mtu wa kwanza aliyenusurika katika maporomoko ya ardhi ya Desemba Mosi ambayo yaliukumba mgodi wa shaba  na takriban watu 38 waliokuwa wakifanya kazi hapo bila kibali walikwama chini ya ardhi, kitengo cha kudhibiti majanga kilisema Jumatano.

Kikosi cha uokoaji pia kilipata miili miwili, ambayo ilikuwa bado haijatambuliwa, Kitengo cha Kudhibiti na Kupunguza Maafa kilisema katika taarifa iliyotumwa kwenye Facebook.

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 49 ameokolewa kutoka kwenye mgodi ulioporomoka huko Chingola baada ya kunaswa na wachimbaji madini wengine kadhaa ilisema, na kuongeza kuwa alikuwa akitibiwa hospitalini.

Forum

XS
SM
MD
LG