Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:43

#voac19townhall : Mtaalam wa afya aeleza hali ya maambukizi duniani


Mtaalam wa afya wa kimataifa katika Mkutano ulioandaliwa na Sauti ya Amerika (VOA) Alhamisi Washington, DC, Marekani, aeleza hali ya maambukizi New York.

#voac19townhall : Wataalam wa afya wa kimataifa walishiriki katika Mkutano ulioandaliwa na Sauti ya Amerika (VOA) Alhamisi iliyopita Washington, DC, Marekani kwa njia ya skype, wakijibu maswali juu ya maambukizi ya virusi vya corona. Endelea kumsikiliza...

Tutaendelea kuchapisha sehemu ya pili na ya tatu ya makala hii. Endelea kuifuatilia katika mitandao yetu.

XS
SM
MD
LG