Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Novemba 22, 2024 Local time: 21:14

UNICEF yasema watoto milioni 43 kote ulimwenguni walikimbia makazi yao


UNICEF imesafirisha tani tano za msaada wa chakula kwa ajili ya watoto wenye utapiamlo nchini Somalia kufuatia ukame uliolikumba eneo la pembe ya Afrika
UNICEF imesafirisha tani tano za msaada wa chakula kwa ajili ya watoto wenye utapiamlo nchini Somalia kufuatia ukame uliolikumba eneo la pembe ya Afrika

Watoto Waliokoseshwa makazi  katika Hali ya Hali ya hewa Inayobadilika ni uchanganuzi wa idadi ya watoto katika nchi 44 kutoka 2016 hadi 2021.

UNICEF ilisema katika ripoti yake ya Ijumaa kwamba takriban watoto milioni 43 kote ulimwenguni walikimbia makazi yao katika kipindi cha miaka sita kwa sababu ya majanga yanayohusiana na hali ya hewa, karibu watoto 20,000 hupoteza makazi kwa siku.

Watoto Waliokoseshwa makazi Katika Hali ya Hali ya Hewa Inayobadilika ni uchanganuzi wa idadi ya watoto katika nchi 44 waliohamishwa kwa sababu ya mafuriko, dhoruba, ukame na moto wa msituni kutoka 2016 hadi 2021.

Ripoti ya kwanza kama hii pia inaangalia ukosefu wa makazi kwa miaka 30 ijayo.

China na Ufilipino ni miongoni mwa nchi zilizo na idadi kubwa zaidi ya watoto wasiokuwa na makazi. Hata hivyo, ripoti hiyo ambayo watoto walisema katika nchi maskini zaidi huathiriwa kupita kiasi na hali mbaya ya hewa.

Forum

XS
SM
MD
LG