Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 09:48

Ukraine yasema ilikuwa tayari imetahadharisha uwezekano wa Bwawa la Kakhovka kushambuliwa


Ukraine yasema ilikuwa tayari imetahadharisha uwezekano wa Bwawa la Kakhovka kushambuliwa
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Serikali za Russia na Ukraine zinalaumiana kutokana na kulipuliwa kwa Bwawa la Kakhovka na kituo cha kuzalisha umeme. Wachambuzi wanaeleza mlipuko huo unaweza kubadili mwenendo wa vita hivi sasa. Endelea kusikiliza mwandishi wetu akikuletea maelezo zaidi.

Polisi nchini Kenya wamefyatua gesi ya machozi karibu na jengo la bunge Jumanne kuwatawanya waandamanaji...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG