Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 21, 2025 Local time: 15:19

Ujerumani yasema uamuzi wa Morocco sio wa kisiasa

Morocco Earthquake
Morocco Earthquake

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ujerumani na Morocco ni mzuri alisema msemaji huyo, ambaye aliongeza kuwa upande wa Morocco umeishukuru Ujerumani kwa kutoa msaada.

Ujerumani haioni dalili zozote kwamba uamuzi wa Morocco kuacha kupokea msaada wa tetemeko la ardhi kutoka Berlin ni wa kisiasa, msemaji wa wizara ya mambo ya nje alisema Jumatatu.

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Ujerumani na Morocco ni mzuri alisema msemaji huyo, ambaye aliongeza kuwa upande wa Morocco umeishukuru Ujerumani kwa kutoa msaada.

Kama Ujerumani ilivyojifunza kutokana na mafuriko mabaya mwaka 2021 katika bonde la Ahr, uratibu wa misaada ni muhimu wakati wa majanga makubwa ili kuhakikisha wafanyakazi wa uokoaji hawazuiani, alisema msemaji huyo.

Forum

XS
SM
MD
LG