Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 02:16

Uganda yaua zaidi ya wanachama 560 wa kundi la waasi linaloshirikiana na Islamic State

Shambulizi la ADF huko DRC
Shambulizi la ADF huko DRC

Kundi linaloipinga Kampala la Allied Democratic Forces (ADF) liko katika misitu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako linafanya mashambulizi ndani ya Congo na Uganda.

Uganda imewaua zaidi ya wanachama 560 wa kundi la waasi linaloshirikiana na Islamic State tangu ilipoanzisha operesheni dhidi yao Desemba 2021, Rais Yoweri Museveni alisema.

Kundi linaloipinga Kampala la Allied Democratic Forces (ADF) liko katika misitu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako linafanya mashambulizi ndani ya Congo na Uganda.

Baada ya kupata kibali cha Congo, wanajeshi wa Uganda walianzisha operesheni huko dhidi ya ADF wakitaka kuharibu kambi zao na kuua au kuwakamata wapiganaji wa kundi hilo.

Forum

XS
SM
MD
LG