Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 23:49

Siku ya Ukimwi Duniani : Tiba ya kwanza ya muda mrefu yapatikana


Siku ya Ukimwi Duniani : Tiba ya kwanza ya muda mrefu yapatikana
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Juhudi za kimataifa kutengeneza tiba ya kwanza ya muda mrefu ya HIV yafikiwa duniani huku matibabu kama vile sindano anazopigwa mtu mara moja kila miezi miwili kugunduliwa.

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amesema maadui zake wameshindwa na kuahidi kulikamata tena eneo katika mkoa wa Amhara kutoka kwa wapiganaji wa Tigray.

Rais Joe Biden asema Marekani itafanya tathmini kila wiki kuhusu masharti mapya ya usafiri kufuatia aina mpya ya virusi duniani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
XS
SM
MD
LG