Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 03:06

Sheria yapendekezwa Bunge la Kenya kupunguza mfumo wa uzalishaji gesi chafu


Sheria yapendekezwa Bunge la Kenya kupunguza mfumo wa uzalishaji gesi chafu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Sheria inayopendekezwa hivi karibuni katika Bunge la Kenya inakusudiwa kubuni kupunguza mfumo wa uzalishaji gesi chafu kwa kununua na kuuza hati za utoaji wa gesi hiyo maarufu kama carbon credits.

Mapigano yamepamba moto tena katika baadhi ya maeneo ya Amhara huko Ethiopia, huku takriban vifo kumi vya raia vikiripotiwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG