Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 21:03

Shambulizi la drone la Russia lauwa wawili huko Sumy Ukraine


Wanajeshi wa Ukraine wakifanya mazoezi huko katika mkoa wa Sumy
Wanajeshi wa Ukraine wakifanya mazoezi huko katika mkoa wa Sumy

Shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Russia katika mji wa kaskazini mashariki mwa Ukraine katika mji wa Sumy limeuwa  watu wawili na kujeruhi 12

Shambulizi la ndege isiyo na rubani ya Russia katika mji wa

kaskazini mashariki mwa Ukraine katika mji wa Sumy limeuwa watu wawili na kujeruhi wengine 12 siku ya Ijumaa asubuhi, mamlaka ya mkoa ilisema.

Majengo kumi na mbili ya ghorofa, makazi matano binafsi, duka

na magari matatu yaliharibiwa baada ya ndege tatu zisizo na rubani kuushambulia mji huo karibu saa 11 alfajiri polisi wa kitaifa walisema.

Volodymyr Artiukh, Gavana wa mkoa wa Sumy, alisema.

Vikosi vya Russia vilikuwa na vifaa na ndege zisizo na rubani katika shambulio la eneo lenye watu wengi la mji.

Forum

XS
SM
MD
LG