Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 27, 2025 Local time: 02:21

Ripoti za raia wa China waliosafirishwa katika vituo vya ulaghai zaibua maswali mapya

Mwigizaji wa China Wang Xing, kulia, akizungumza na maafisa wa polisi wa Thailand katika wilaya ya Mae Sot, katika mpaka wa Thai-Myanmar, mkoa wa Tak Januari 7, 2025. (AP)
Mwigizaji wa China Wang Xing, kulia, akizungumza na maafisa wa polisi wa Thailand katika wilaya ya Mae Sot, katika mpaka wa Thai-Myanmar, mkoa wa Tak Januari 7, 2025. (AP)

Ripoti za raia wa China waliosafirishwa katika vituo vya ulaghai kwenye mpaka wa Thailand na Myanmar zinaibua maswali mapya kuhusu utegemezi wa Beijing kwa utawala wa kijeshi wa Myanmar kukabiliana na uhalifu wa kimataifa.

Wachambuzi wanaonya mkakati wa sasa wa China nchini Myanmar unawaacha raia wakiwa hatarini huku ukiweza kuimarisha mitandao ya uhalifu katika nchi hiyo yenye migogoro ya Kusini-Mashariki mwa Asia.

Kesi za hivi karibuni za utekaji zimeibua hasira miongoni mwa umma wa China, ikiwa ni pamoja na kuripotiwa kutekwa kwa mwigizaji wa China Wang Xing huko Myawaddy, mji wa mpaka wa Thailand na Myanmar, na matapeli wanaojifanya watayarishaji wa filamu. Balozi za China nchini Myanmar na Thailand zimewaonya raia kuhusu ahadi za kazi za malipo ya juu ambazo mara nyingi husababisha watu kupelekwa kwenye ajira za kulazimishwa.

Forum

XS
SM
MD
LG