Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 01:19

Rais wa zamani wa Marekani Trump akabiliwa na shtaka la nne la uhalifu Georgia

Rais wa zamani wa Marekani Trump akabiliwa na shtaka la nne la uhalifu Georgia
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump anakabiliwa na shtaka la nne la uhalifu wakati jopo la mahakama Georgia lilipotoa maamuzi ya kumshtaki kwa kujaribu kubadili uchaguzi wa rais wa mwaka 2020.

XS
SM
MD
LG