Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 26, 2024 Local time: 20:49

Rais wa China Xi Jinping afanya ziara fupi nchini Morocco

Mfalme Mohammed VI wa Morocco akipiga makofi baada ya hafla ya kutia saini hati za mji wa viwanda wa China ulio karibu na mji wa Tangier ulioko kaskazini mashariki mwa Morocco katika Ikulu ya Marchane huko Tangiers, Jumatatu, Machi 20, 2017.

Rais wa China Xi Jinping alifanya ziara fupi nchini Morocco siku ya Alhamisi, kulingana na vyombo vya habari vya serikali kutoka nchi zote mbili.

Rais wa China Xi Jinping alifanya ziara fupi nchini Morocco siku ya Alhamisi, kulingana na vyombo vya habari vya serikali kutoka nchi zote mbili.

Xi alikaribishwa mjini Casablanca na Mwanamfalme Moulay El Hassan na ziara hiyo ilionyesha uhusiano mkubwa wa urafiki, ushirikiano, na mshikamano kati ya watu wa Morocco na China, Shirika la habari la Morocco -MAP Morocco lilisema.

Mwana wa Mfalme na Waziri Mkuu wa Morocco Aziz Akhannouch walikutana na Xi kwenye uwanja wa ndege, ambapo Xi na Hassan walikuwa na "mazungumzo mazuri", shirika la utangazaji la taifa la China CCTV lilisema.

Forum

XS
SM
MD
LG